KWA MUJIBU WA MDOGO WA MAREHEMU STEVE KANUMBA, ALISEMA KUWA ELIZABETH
MICHAEL MAARUFU KAMA LULU ALIKUJA NYUMBANI KUKAWA NA KAUGOMVI AMBAPO
WAKAINGIA CHUMMBANI WAKIWA HUKO BAADA YA MUDA,LULU ALITOKA NA KUMUITA
YEYE KUMUAMBIA KANUMBA KAANGUKA, YE ALIPOENDA AKAMKUTA KAANGUKA NDIO
AKAENDA MUITA DAKTARI WA KANUMBA AMBAPO ALIPORUDI HAKUMKUTA LULU, LAKINI
HADI TUNAVYOONGEA LULU YUKO POLISI OSTERBAY KWA AJILI YA MAHOJIANO NA
POLISI
Inasemekana Lulu aligombana na marehemu Kanumba ambaye inasemekana
alikuwa mpenzi wake baada ya kukutwa akiongea na mwanaume mwingine
kitendo ambacho kilimuudhi marehemu.. Lulu anasemekana kumsukuma
marehemu na ndipo alianguka na umauti kumfikia jana usiku...
R.I.P Steven Kanumba
R.I.P Steven Kanumba
No comments:
Post a Comment