Na
 ndipo kukutanishwa na manyeko na kufanya ngoma yakie ya kwanza 
iliyoitwa hip hop imesimaama na kuweza kumfanya kuweza kujizolea 
mashabiki kibao kwa kuwa aliiachia siku moja baada ya kutolewa kwenye 
shindano la freestyl mc shujaa, ya mwaka 2009  iliyokuwa inaendeshwa na 
fetty chini ya kipindi cha bongo flavor.  Naukuaji wa mziki wake umekuwa
 wa ajabu ajabu kutokana kuwa mc wa kwanza Tanzania kufanikiwa kuwa na 
mashabiki wengi, kupiga shows nyingi kubwa, kufanya intaviews nyingi, 
kupewa promo na radio zote Tanzania bila kumbania ingawa mpaka 
alipofikia hana na hajawahi kuwa na manager wa aina yoyote na kila 
sehemu huwa anafanikiwa kufanya kazi bure na kujikuta wale wanaomfanyia 
kazi ndio kugaramika. Mfano baucha aliondoka na ngoma 5 na hakudaiwa 
hata shilingi 100 licha ya kutokuwa na makubaliano yoyote ya kusighn na 
studio ya baucha! Amefanya ngoma mbili ambazo zimefanya vizuri sana 
ndani na nje ya nchi full ng’ae ng’ae bila kutoa hat ash 50 kwa producer
 wa d fatality na hata baadae walipokuja kukorofishana aliweza kuja 
kufanya ngoma ya ohh mama na climax bibo, na wakati hawakuwa wakiongea 
na producer aliefanya mix bila malipo wakati messen alikiri ya kuwa 
ufanyaji kazi wake umebadilkika kwa sasa pesa mbele kama tai. Na kwa 
sasa anakabiliwa na kesi kubwa ya kutumia chater ya kundi alilokuwa 
akilitumikia mwanzoni mwa mwaka 2010 kabla ya kujitoa mwanzoni mwaka 
huu, na chaa ajabu uliwahi kusikia wapi mtu aliyepeleka kesi mahakamani 
kama mdai alietambulika kwa jina lililopo kwenye file la kesi dikison 
kuomba suluu baada ya kuhairishwa kesi mpaka tar 3 mwezi may. Hivyo hali
 yake ya kuwa anaogopewa na watui wengi lila sector. Inaweza 
kudhihirisha ya kuwa yeye ni muhusika wa familia ya freemason, kwa kuwa 
hajawahi kufanya shoe hata moja asiwe kati ya wasanii watatu bora kwenye
 show hiyo, na lazima ataonyesha vidole, au ishara yoyote ya ajabu. 
Baghdada, a.k.a notorious wa bongo, kwa sasa anatumia jibu la p.g kweka 
au mjukuu wa lusifer.
 Kuhusiana na mziki
Video
 yangu ya hip hop imesimama kunapicha ya fuvu, ukicheki kamba 2kamba 
kuna ishara za free mason, ukpitia baadhi ya lyn zake, mfano kwenye hip 
hap imesimama
     “ marehemu ninaeish kiufupi mi nmzmu 
     Tanzania nw brnda  dar n bidhaa hadimu
      sijasomea majungu nawalasiujui umbea 
     doubt nilipo sasa usiulize nilipotokea”
   
  kwenyengoma yake ya ng’aeng’ae alisema “nawauzunisha waliojipaga 
kuelekea moton nawa furaisha wenye tv yakuona pepon kwenye ooh mama  
“yee ni zombie joo mzimu wamrehem huwa hauzirai” kwenye kamba 2 kamba 
aliziirisha zahili kuwa anatoa kafara kwa kunywa damu zawatu kwa kusema 
“damu za dadazao zinatolewa kafara ghetto” licha ya ngoma mpaya  ambayo 
ukisikiliza lyn moja baada ya moja  kumuusisha na freemason kwa kukiri 
kuwa yeye ni mjukuu wa Lucifer jina la kiongozi wa free mason!  Na moja 
ya line zake anasema was bon freemason na ubongo alipewa na lusifer, 
been haso kutafuta damu awe satisfai. Na ukiisikiliza mwishoni mwa ngoma
 hii utasikia akisema diss line kwa dimond platinum na huwezi amini kwa 
msanii mkubwa kama diamond ambae ukionekana kugusa hata kiatu chako kwa 
soli yako haoni shida kukufungulia kesi ila im ekuwaje kuwa kimya kwa 
kauli hiii kutokuifanyia kazi!

 
 





No comments:
Post a Comment