Kibaka akiwa ndani ya Bajaj akifanya mawasiliano na simu baada ya kupokea kipigo.
Mwenye Bajaj akimvuta kwa hasiri ili amtoe nje.
 Madereva wa Bajaj wakimtazama kibaka huyo.
Bajaj iliyoibiwa tairi.
Kibaka  akipelekwa kituo cha polisi.
KIBAKA mmoja aliyejulikana kwa jina la Chura jana alioja joto ya jiwe
 kwa kushushiwa kipigo na madereva wa Bajaj baada ya kuiba tairi ya 
Bajaj maeneo ya Bamaga jijini Dar es Salaam.Baada ya kupewa kipigo kikali alikimbilia kwenye Bajaj na kukaa ndani yake ambapo alivutwa lakini haikuwezekana kutolewa kutokana na jinsi alivyokuwa amejishikilia kwa nguvu ndipo watu walipoamua kumpeleka katika kituo cha polisi Mabatini. Tairi hilo lililoibiwa halikupatikana.
Habari/picha:Na Gladness Mallya





No comments:
Post a Comment