Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale
(katikati), Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa,
Andrew Massawe (kulia) na Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye
(kushoto) wakionyesha vipeperushi kuashiria uzinduzi rasmi wa promosheni
ya ‘Weka Upewe’ ya NBC ikiwa ni moja ya matukio yatakatokwenda sambamba
na maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja wa NBC. Hafla hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Zawadi zote katika promosheni hiyo
zitagharimu zaidi ya shs milioni 300.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Andrew Massawe (kulia), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya NBC ikiwa ni moja ya matukio yatakatokwenda sambamba na maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja wa NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Zawadi kubwa ni gari jipya aina ya Suzuki Swift toleo la mwaka 2013. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale na kushoto ni Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale (katikati), akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Meneja katika kitengo hicho, Dorothea Mabonye.
Meneja katika kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa cha NBC, Dorothea Mabonye (kushoto) akitoa ufafanuzi jinsi ya uendeshaji wa promosheni ya Weka Upewe wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Mwinda Kiula Mfugale na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe.

PRESS RELEASE
NBC LAUNCHES 3 MONTH WEKA UPEWE SAVINGS PROMOTION TO CELEBRATE CUSTOMERS
NBC LAUNCHES 3 MONTH WEKA UPEWE SAVINGS PROMOTION TO CELEBRATE CUSTOMERS
DAR ES SALAAM, OCTOBER 8TH 2013
As part of its efforts to celebrate customers and the Customer Service Month, The National Bank of Commerce (NBC), has today launched an exciting three month Savings promotion dubbed, “Weka Upewe”.
As part of its efforts to celebrate customers and the Customer Service Month, The National Bank of Commerce (NBC), has today launched an exciting three month Savings promotion dubbed, “Weka Upewe”.
The campaign which was launched at NBC Head
Office in Dar es Salaam, aims at not only celebrating NBC customers for
their patronage, but also to encourage a savings culture among NBC
customers and clients.
Speaking during the campaign Launch, NBC
Head of Marketing, Communications and Corporate Affairs, Ms. Mwinda
Kiula-Mfugale said, “We are excited to launch this great promotion which
will see customers win from a variety of prizes every month between now
and the end of the year.” She added, “ We are always looking at ways to
reward our customers for the business we do together, and this year,
which is no different from last year, we will give away great prizes to
lucky winners who practice saving, by depositing into their accounts.
This year our Grand prize will be a Brand New 2013 Suzuki Swift.”
Also commenting on the campaign, NBC’s Head
of Affluent and Liabilities, Andrew Massawe said, “We like to encourage
our customers to save for their future, and this promotion aims to
deliver just that.” He added, “With the current economic situation, it
is imperative that our customers learn how to budget and save for what
they want, if they are meet their financial responsibilities with ease”.
The three month long promotion will see six
winners in a month winning exciting prizes including electricity
generators, and motorbikes. Eligibility to enter the promotion requires a
customer to open and deposit into their Malengo Savings Account or to
open and deposit into a one year Fixed Deposits Account. The promotion
is open to both existing and new customers.
The promotion comes at a time when the bank
is running a Customer Service Month campaign, which aims to gather
customer feedback and offer additional fringe benefits when customers
visit NBC branches for their transactions. The campaign which was
launched across all NBC branches on 1st October 2013 will culminate at
the end of the month.
No comments:
Post a Comment