Lulu (katikati ya askari, mbele) akipelekwa kizimbani leo.
---
Kesi
ya mauaji inayomkabili msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth
'Lulu' Michael, jana ilifika tena, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu
Jijini Dar es Salaam ambapo upande wa mashitaka ulisema upelelezi wa
kesi hiyo bado haujakamilika hivyo kesi hiyo kuahirishwa mpaka Juni 18
mwaka huu.
Source: GPL
No comments:
Post a Comment