---
Katika miaka ya nyuma Linda aliwahi kusponsor matukio mbalimbali kwenye miaka ya 1990 wengi wao wakimjua kwa Linda Express nchini Tanzania ambaye hivi sasa anajishughulisha na biashara ya nguo za kiume milanovita.com pamoja na za kike ambazo anadesign mwenyewe kwa brand name ya Linda kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment