Kupitia
ukurasa wake wa Facebook Fetty amesema, “Juma mosi hii na jumapili
nitakua nikispin ndani ya Jumba la BBA STARGAME, nitume kwa kuniandikia
playlist itakayo wapagawisha…na shinda very nice cape ya big brother na
high quality Tshirt kutoka CloudsFm…legoooooo.”
Fetty ambaye kwa muda alikuwa amepumzika shughuli za udj na kuendelea na
utangazaji wa kawaida, amesema imemlazimu kujifua tena ili kuhakikisha
kuwa ‘haangushi maembe’ (kumix vibaya nyimbo) wakati atakapokuwa akipiga
ngoma.
Amesema mwaliko huo ameupata katikati ya mwezi May na tangu hapo amekuwa
akijikumbushia ujuzi kwenye ‘wheels of steel’ kwakuwa hiyo ni nafasi
kubwa inayohitaji maandalizi ya kutosha.
Mwaka jana Dj wa kike kutoka kituo cha radio cha YFM cha Ghana Nana
Kessewa Adu aka DJ Kess alialikwa pia kuburudisha kwenye Big Brother
Amplified.
Hiyo si mara ya kwanza kwa Dj wa Clouds FM kupata mwaliko huo. Mwaka
jana Dj Steve B naye alipewa fursa hiyo ya kuonesha ujuzi wa mikono yake
kwenye 1 and 2!
---
Two
weeks after Bongo Flava artiste Diamond thrilled fans on reality TV
show BBA, another Tanzanian entertainer DJ Fetty will this weekend
entertain housemates at Big Brother House.
DJ
Fetty who plies her trade with local radio station Clouds Fm in
Dar-es-Salaam is considered as one of the best female DJs in the
country.
She
first rose to prominence while presenting a popular afternoon show (Dr
Beat) before she joined a disk jockeying group Nyuki DJs in a show at
the time known as Saturday night live.
Johannesburg.
After two successive seasons that saw Hannington in 2010 and lotus in
2011 being evicted from the BBA house because of violence, this year’s
contestants became the latest victim.
Ghana’s
DKB and Sierra Leone’s Zainab became the latest victims to face
Biggie’s wrath as they failed to desist from violence which is against
BBA rules.
The
sending off of the contestants brought the number of housemates to
seven in five days after Esperanza and Seydou decided to back out of the
Stargame contest.
Source: Bongo5 & The Citizen
No comments:
Post a Comment