Social Icons

Friday, June 8, 2012

MTITU AFICHUA SIRI YA MBWA WA UWOYA, RAY

Mbwa wa Irene Uwoya.
Na Erick Evarist
MWIGIZAJI wa ‘long time’ Bongo, William Mtitu ameweka bayana kuwa hakupenda aina ya mbwa aliokuwa akiwamiliki ndiyo maana aliamua kumuuzia Irene Uwoya.
Akichezesha taya na Ijumaa kwenye ofisi zake zilizopo Magomeni jijini Dar, Mtitu alisema alifikia uamuzi wa kuwauza mbwa hao baada ya kubaini hawawezi kazi ya ulinzi.
“Mi’ nilishawishiwa na rafiki yangu kuwanunua nikidhani ni mbwa wa ulinzi nyumbani kumbe ni mbwa koko.
“Sasa Mbwa gani kila unapotaka kwenda na yeye anakufuata, siyo mkali wala nini ndiyo akatokea Uwoya nikamuuzia, nasikia na yeye kamuuza mmoja kwa Ray,” alisema Mtitu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

 

for more information call us

+255718953088
-------or-------
+255784953088
*email*
innocentfabian@gmail.com
THANKS

quote of the day

"Don't criticize me simply because I am different. Understand me, and you will most likely appreciate my difference and criticize your variance."