Tukio hilo la kutaka kwenda kupewa penzi la lazima, lilichukua nafasi ndani ya Ukumbi wa New Maisha Club, Dar usiku wa kuamkia Mei 29, mwaka huu.
Mwanamuziki huyo alimfuata Zamda na kumwambia kwamba siku nyingi amekuwa akimtongoza na kumpa ahadi hewa kwa hiyo siku hiyo ilikuwa arobaini yake.
“Leo sikubaliani na ‘sound’ zako, lazima tuondoke wote, tena sasa hivi,” alisikika akisema Chaz huku akimvuta demu huyo.
Hata hivyo, Zamda aliweza kuponyoka kutoka mikononi mwa Chaz na kutokomea kusikojulikana.
No comments:
Post a Comment