kwani amejipanga kikamilifu.
Aunt aliyasema hayo kwa madai kuwa watu wengi wamekuwa wakitaka kushuhudia ndoa yake na mumewe, Sunday Demonte
ikivunjika lakini yeye ana uhakika kuwa haitavunjika milele kwani maisha anayoishi sasa siyo sawa na yale ya zamani.
“Naweza kusema kuwa ndoa yangu itadumu milele na haivunjiki leo wala kesho kama wengi wanavyosema, ninajua ni kitu gani
ninachokifanya, nimebadili mwenendo wa maisha yangu, pia ninajiheshimu kama mke wa mtu,” alisema Aunt.
No comments:
Post a Comment