Mfalme wa miondoko ya TAKEU, Lucas Nice Mkenda ‘Mr Nice’ hivi karibuni ametangaza azma yake ya kuoa huku akieleza kuwa, mkewe mtarajiwa atakuwa ni Mkenya.
Akifanyiwa mahojiano na Kituo cha Televisheni cha Kenya, Citzen TV, Mr Nice alisema miongoni mwa mambo yaliyomfanya aende nchini humo ni pamoja na hilo la kuoa.
“Suala la kuoa ni moja kati ya mambo yaliyonileta hapa, mke atapatikana na nitawaambia, kwa sasa hayo tumuachie Mungu,” alisema Mr Nice
No comments:
Post a Comment