Siku ya jana usiku...ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa kaka yangu
kipenzi Crama Boy iliyofanyika
ndani ya Fay Pub sinza...palestina....!!
Friends wengi na wasanii mbalimbali walishow love na
bebez kali za town zilikuwepo
hakika birthday hii ni zaidi ya birthday....marafiki toka sehemu
mbali mbali walikutana na hata
friends kutoka bbm walikuwepo na wengine kuonana for the
first tym plae....so ni jambo la kumshukuru
mungu kwa siku ya jana.....
wazee wa bata batani.........from left Rozzay & Nez ray b
from left yusuph mlela,birthday boy crama,ney true boy & hance paul msanii
wa wazawa group....
Rozzay & Yusuph mlela...
Tudd baba unafanya nini sasa..?? ahahahha casto dickson naye alikuwepo
jikekiii raiaaa..
amina chuchuba umeng'aaje lol!! |
king k akilishwa keki.. |
DJ CHOKA A.K.A BABA HARRISON |
can I get Rozzaaaaay!! akila keki kw niaba ya fans wote wa BBM |
mbebs wa ukweliii |
utambulisho plzz!1 @kingkapita |
#BASISAWA# |
Hamish donovan the man himself akiwa na Rozzay......this is crayz men |
HAMISHIIIIIII# |
kaka sijamuona wifiiii etuuuuu!! ihihihihh #SAMAHANILAKINI |
PICTURE CREDITS: http://zeddylicious..blogspot.com/
No comments:
Post a Comment