Baada ya kuandika status yenye utata mrembo Hilda leo kaja kivingine na kuandika kifuatacho:
"Am so sorry... some time ukiamka na hangover za hasira halafu ukakutana
na kitu kinachokera, busara mara nyingi hutoweka na ujinga huchukua
nafasi kwenye ubongo... Am so sorry kwa aina ya lugha iliyotumika...
Mungu husamehe pamoja na maovu ya dunia hii... Hata Hitler kama alitubu
dhambi zake kabla hajafa naamini alisamehewa licha ya kuua mamilioni ya
wanadamu... Aliua Wayahudi zaidi ya milioni tano... So jifunze kusamehe
kwa kila jambo... Love u all... Thanks."
Wonders shall never end!!!!!
No comments:
Post a Comment