Baada ya Kajala Kutoka Jela Mapenzi yake na Petit Man yawa Live live
Mapenzi kati ya hawa wawili sasa yanaonekana live live kupitia BBM na
hata kwa washikaji wa Karibu japo mapenzi yalianza hata kabla ya Kajala
kwenda jela....Kijana Huyo anajulikana kwa jina la Petit Man ....na ni
mmoja wa Wafanyakazi wa Endless Fame Kampuni ya Wema ...Hongera kwao
Jamani
Picha hii Akiwa na Boss wake Wema Sepetu .....Nice One
Collaboration request
-
Hi there
How would you like to earn a 35% commission for each sale for life by
selling SEO services
Every website owner requires the use of search engin...
No comments:
Post a Comment