Social Icons

Wednesday, May 8, 2013

BREAKING NEWS: LWAKATARE AFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI, ABAKIZA SHITAKA MOJA

-Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare.
-Lwakatare amebakiza kesi moja tu ambayo ni kujaribu kumwekea sumu mhariri wa gazeti la Mwananchi, Denis Msaki ambayo ina dhamana.
-Mmoja wa mawakili wa Lwakatare, Peter Kibatara, amesema kuwa kesi hiyo iliyobaki ni nyepesi, aahidi kumwekea dhamana Jumatatu ijayo.
-Wafuasi wa Chadema wachekelea
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

 

for more information call us

+255718953088
-------or-------
+255784953088
*email*
innocentfabian@gmail.com
THANKS

quote of the day

"Don't criticize me simply because I am different. Understand me, and you will most likely appreciate my difference and criticize your variance."