PICHA 3 ZINAZOONESHA MUONEKANO MPYA WA VIDEO QUEEN AGNES
Baada ya kuwa mbali na macho ya watanzania kwa muda sasa.....baada ya Video yake ya utupu ilivyovuja mitandaoni....!! ameonekana kwenye picha izi zenye utata kidogo....akiwa mwenye afya tele na mwenye furaha sana...... akizungumza na This is Diamond alisema '' Kwa sasa nipo nchini kwa muda tu lakini nina biashara zangu ambazo nafanyia nje ya nchi, Biashara za kina dada kama Viatu n etc za wanawake.....Alizidikufunguka zaidi akimshukuru mungu kwa kumfikisha alipo mpaka now na soon nakaribia kufungua saloon yake na boutique maeneo ya Mikocheni,Ingawa sintapenda kutaja lini lakini watu wategeme nguvu za Ujasiriamali kutoka kwangu....''
Royal Blog Inapenda kumtakia Maisha Mema Agnes na Baraka tele...!
Collaboration request
-
Hi there
How would you like to earn a 35% commission for each sale for life by
selling SEO services
Every website owner requires the use of search engin...
No comments:
Post a Comment