Na Imelda Mtema
BAADA ya kurejea uraiani, mwigizaji, Kajala Masanja amesema anawashukuru wote waliomuombea hadi akachomoka kwenye mikono ya sheria na kuahidi mashabiki kuwa zawadi yao itakuwa ni kuzalisha kazi bora.
Kajala ameweka plain kuwa kwa sasa anamilikiwa na meneja wake aitwaye John Lister anayesimamia kila kitu kinachohusu sanaa yake na shughuli nyingine kwa jumla.
BAADA ya kurejea uraiani, mwigizaji, Kajala Masanja amesema anawashukuru wote waliomuombea hadi akachomoka kwenye mikono ya sheria na kuahidi mashabiki kuwa zawadi yao itakuwa ni kuzalisha kazi bora.
Kajala Masanja.
“Najua wengi wanasubiri waone nitafanya nini katika kazi zangu za
uigizaji, umuhimu wa filamu kwangu ni mkubwa sana na ninawahakikishia
kuwa nitafanya mambo makubwa, wapenzi wa filamu wananikubali ni wakati
wa kuwapa zawadi kwa filamu bora nitakayoigiza hivi karibuni,” alisema
Kajala.Kajala ameweka plain kuwa kwa sasa anamilikiwa na meneja wake aitwaye John Lister anayesimamia kila kitu kinachohusu sanaa yake na shughuli nyingine kwa jumla.
No comments:
Post a Comment