Yule mwanadada mkali anaetamba na wimbo
 wa  MAJANGA Anaejulikana kama SNU SEX mwiitwe SNURA leo anamalizia 
baadhi ya clip ya video yake ya majanga south Africa ambapo alikwenda 
huko kwa ajili ya kufanya filamu na kurecord video.
 Pia unaweza kuupata wimbo wa majanga kama MUUTO KWENYE SIMU YAKO andika GB kisha tuma kwenda 15050
hapa akiwa na abby kazi





No comments:
Post a Comment