Na Mwandishi Wetu
‘VIDEO Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ameibuka na kusema kuwa hakwenda Afrika ya Kusini ‘Sauz’ kujiuza kama baadhi ya watu walivyompakazia.
‘’Sijui hizo picha zilisambaa vipi kwa sababu zilikuwa kwenye kamera yangu na mimi siku hiyo nilikuwa nimelewa, sikuwa naelewa chochote na sikuwa utupu kiivyo kama wambeya walivyosema,” alisema Masogange.
            
‘VIDEO Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ameibuka na kusema kuwa hakwenda Afrika ya Kusini ‘Sauz’ kujiuza kama baadhi ya watu walivyompakazia.
Agness Gerald ‘Masogange’.
Akipiga stori na Amani, Masogange ambaye iliwahi kuvuja video yake ya
 utupu mwaka jana, alifafanua kuwa picha mpya zinazodaiwa kuwa ni za 
nusu utupu zilizozagaa mtandaoni, zilisababishwa na ulevi na si kweli 
kwamba ni za kujiuza.‘’Sijui hizo picha zilisambaa vipi kwa sababu zilikuwa kwenye kamera yangu na mimi siku hiyo nilikuwa nimelewa, sikuwa naelewa chochote na sikuwa utupu kiivyo kama wambeya walivyosema,” alisema Masogange.







No comments:
Post a Comment