Social Icons

Friday, May 3, 2013

NAKAYA AFUNGUKA BAADA YA KURUDISHA KADI YA CHAMA CHA DEMOKRSIA CHADEMA

Moja ya  habari zilizo make Headline kwenye vyombo vya
habari ni baada ya Mwanamuziki
wa Kizazi kipya Nakaya Sumari.....kufunguka Juu ya
maamuzi yake aliyofikia hivi karibuni...
 Nakaya alifunguka kwenye kipindi cha XXL ya Clouds Fm....

NA HIVI NILIVYOMNUKUU NAKAYA:"moja kati vitu
ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia
CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea
 kuwa nilipewa hela, kama nilipewa hela si saa hii
ningekuwa nakula bata, lakini wapi! mi sijapewa hela.
wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama
hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa
kwasababu ya ushawishi wa watu, na nilishawishika
 kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr Politician"
lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this is not
what i can do, siasa ni mchezo mchafu na
niliona vinani confuse" amesema Nakaaya
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

 

for more information call us

+255718953088
-------or-------
+255784953088
*email*
innocentfabian@gmail.com
THANKS

quote of the day

"Don't criticize me simply because I am different. Understand me, and you will most likely appreciate my difference and criticize your variance."