EEHH!!! jamani kina dada mbona 
mnajidhalilisha kiasi hicho!! ni pombe ulilewa au kitu gani!?? au ndio 
mambo ya NATAKA KULEWA hayo ukaamua ummwagie radhi mtoto wa mwenzio 
kilazima, au huna habari KAMA MCHUMBA WA MTU HUYO DADA!!?? mmmh!! WATOTO
 WA UK MMETISHA!!!
ALAFU nimesikia kuna mdada kaenda kulala na dancer wa DIAMOND akizani ni DIAMOND MWENYEWE biatchhh! yereeeuwiiiiiiii!!!!!! 
tunaendelea kuifatilia kwa ukaribu tutawaletea picha kamili sooooon!!! endelea kurefresh blog yenu mupate mahabari kamili!!!
LMFAO!!
#OKbyeeeeee





No comments:
Post a Comment